Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

LOWASSA AREJEA NCHINI AKITOKEA UJERUMANI ALIKOKUWA AKITIBIWA MACHO

lowasa arejea Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Kimatiafa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akitokea kufanyiwa check up ya macho nchini Ujerumani na kueleza kuwa yuko fiti kimwili. Kushoto ni Mke wake Rejina.

Picha kwa hisani ya kamanda wa Mutukio ©MICHUZI JR

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO