Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KATA YA MAKEBA, ARUMERU MASHARIKI

Sioi akiomba kura kw wananchi wa Makiba Sioi akiomba kura kwa wananchi kijiji cha Makeba Kata ya Makeba juzi. Kushoto ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na kulia ni Mratibu wa kampeni za CCM kitaifa, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO