Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Katuni ya Wiki

arumeruBlog ya ARUSHA YETU imeiteua picha katuni hii kama katuni bora zaidi ya wiki.
Katuni inaelezea uhalisia wa kampeni za Arumeru Mashariki….wazee hawaamini wanachoshuhudia kwa vitoto vidogo kiasi cha kuamini watoto hao wanafundishwa shuleni na walimu wao.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO