Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA ARUMERU KATIKA PICHA – PART I

DSCN0017Jumbe mbalimbali zilikuwepo..

DSCN0020Mshereheshaji akiwajibika….mashairi yake yalibeba ujumbe mzito

DSCN0011Sehemu ya majukwa kwa juu…hayaonekani vizuri

DSCN0028Wazazi wa Joshua Nassari

DSCN0139Nassari akipokea mchango wa mwananchi…

DSCN0016Helcopter ya CHADEMA iliyomleta Mbowe na mgombea, Nassari Joshua

DSCN0034Usalama wa kutosha..

DSCN0063Watu walikuwa watulivu na wasikivu..

DSCN0165Lema akihamasisha harambee ya kuchangia kampeni za Nassari

DSCN0062Makamanda full kombati…hadi wazungu

DSCN0049Wahabari nao wkiwajibika kurusha matangazo livu toka Usa River       

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO