Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

LEMA AOMBA KESI DHIDI YAKE ITUPWE

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, juzi aliiomba mahakama kutupilia mbali tuhuma dhidi yake kwa sababu ni za uwongo, chuki na fitna.
Amedai kuwa hali hiyo ndiyo iliyowafanya Waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowasa na aliyekuwa mgombea kupitia CCM, Dk Batilda Burian, hawakufika mahakamani kutoa ushahidi  licha ya kutajwa mara kadhaa.

Akiongozwa na wakili wake, Method Kimomogoro katika kutoa ushahidi, Lema alidai kuwa kesi hiyo iliyofunguliwa na wapiga kura watatu, imetokana na chuki za mlalamikaji wa kwanza, Mussa Mkanga  baada ya kukosa udiwani katika Kata ya Sombetini. Read more…

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO