Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HATIMAE NYUMBA YENYE MGOGORO WA MAUZO YABOMOLEWA, MTAA WA BONDENI, KATA YA KATI ARUSHA

DSC05207

Baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu uuzwaji wa nyumba ya mwananchi alietambulika kwa jina la Ali Abdalah Khatibu, iliyopo Mtaa wa Bondeni, Kata ya Kati Jijini Arusha, mmiliki mpya amefanikiwa kuibomoa nyumba hiyo chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
inaelezwa ubomoaji huo ulifanyika usiku wa manane.

DSC05198

Askari Polisi wananonekana kama wamepishana maneno na raia huyu mmoja wa waliokuwa wakiishi katika nyumba hiyo

DSC05197

Askari haeleweki…

DSC05203

Wananchi wakishangaa hali ilivyokuwa baada ya zoezi kumalizika.

DSC05210

Hakuna kinachotupwa….

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO