Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kamati Kuu ya CCM Yakutana leo na Kuteua Wagombea Ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki

TAARIFA

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana leo  jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete.  Katika kikao hicho Kamati Kuu ilijadili na kuteua wagombea Ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki kama ifuatavyo:-

Tanzania Bara

(a) Wanawake:

      Waliojitokeza ni kumi na saba (17)

      Waliopendekezwa ni kumi na wawili (12)

1. Ndugu Janeth Deo MMARI – Amependekezwa

2. Ndugu Janet Zebedayo MBENE - Amependekezwa

3. Ndugu Fancy Haji NKUHI - Amependekezwa

4. Ndugu Norah Petro MUKAMI - Amependekezwa

5. Ndugu Shally Joseph RAYMOND - Amependekezwa

6. Ndugu Shy-Rose BHANJI - Amependekezwa

7. Ndugu Ngollo MALENYA - Amependekezwa

8. Ndugu Godbertha KINYONDO - Amependekezwa

9. Ndugu Hamidah Kisaka KALUA - Amependekezwa

10. Ndugu Angela KIZIGHA - Amependekezwa

11. Ndugu Happyness Elias LUGIKO - Amependekezwa

12. Ndugu Ruth Blasio MSAFIRI - Amependekezwa

(a)    Wanaume:

   Waliojitokeza ni arobaini na sita (45)

   Waliopendekezwa ni kumi na saba (17)

1. Dkt. Aman Walid KABOUROU .- Amependekezwa

2. Ndugu John Juma NGONGOLO - Amependekezwa

3. Dkt. Evans Mujini RWEIKIZA - Amependekezwa

4. Ndugu Siraju Juma KABOYONGA - Amependekezwa

5. Ndugu Bernard Simon  MURUNYA - Amependekezwa

6. Dkt. Edmond Bernard MNDOLWA - Amependekezwa

7. Ndugu Christopher Simeon  AWINIA - Amependekezwa

8. Dkt. Hilderbrand Ezekiel  SHAYO - Amependekezwa

9. Ndugu Charles Makongoro NYERERE - Amependekezwa

10. Ndugu Adam Omar KIMBISA - Amependekezwa

11. Ndugu Elibariki Immanuel KINGU - Amependekezwa

12. Ndugu Simon Sales  BEREGE - Amependekezwa

13. Ndugu Mrisho GAMBO - Amependekezwa

14. Ndugu Handley Mpoki MAFWEGA - Amependekezwa

15. Ndugu William John MALECELA - Amependekezwa

16. Ndugu Mussa Elias MNYETI - Amependekezwa

17. Ndugu Godfrey Conrad MOSHA - Amependekezwa

ZANZIBAR

(a)    Wanawake:

Waliojitokeza ni nane (8)

   Waliopendekezwa ni watano (5)

1. Ndugu Septuu Mohammed NASSOR - Amependekezwa

2. Ndugu Safia Ali RIJAAL - Amependekezwa

3. Ndugu Rukia Seif MSELLEM - Amependekezwa

4. Ndugu Sabah Saleh ALI - Amependekezwa

5. Ndugu Maryam Ussi YAHAYA - Amependekezwa

(b)   Wanaume:

Waliojitokeza ni nane (8)

Waliopendekezwa ni nane (8)

1. Dkt. Said Gharib BILAL - Amependekezwa

2. Ndugu Abdallah Ali H. MWINYI - Amependekezwa

3. Dkt. Haji Mwita HAJI - Amependekezwa

4. Dkt. Ahmada Hamad KHATIB - Amependekezwa

5. Ndugu Zubeir Ali MAULID - Amependekezwa

6. Ndugu Khamis Jabir MAKAME - Amependekezwa

7. Ndugu Abdul-Aziz Salim ABDUL-AZIZ - Amependekezwa

8. Ndugu Mbwana Yahya MWINYI - Amependekezwa

Majina ya walioteuliwa yatafikiwa kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM tarehe 3 Aprili, 2012.  Kamati Kuu imewateua wafuatao kusimamia uchaguzi huo.

(1)         Ndugu Abdulrahaman O. Kinana  - Mjumbe wa Kamati Kuu

(2)         Ndugu Nape M. Nnauye – Katibu wa Itikadi na Uenezi

(3)         Ndugu Dogo Mabrouk – Makamu Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi

Imetolewa na:-

Nape M. Nnauye,

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

ITIKADI NA UENEZI

28/03/2012

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO