Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hawa Ng’humbi Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Kupinga Ushindi wa John Mnyika - Ubungo

hawa ng'humbi UTATA mkubwa umeibuka mahakamani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Ubungo baada ya kudaiwa kuwepo kwa kura 14,854, ambazo hazijulikani zilikotoka. Utata huo ulielezwa jana wakati wa kesi ya uchaguzi katika jimbo hilo iliyofunguliwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia CCM, Hawa Ng’humbi ilipokuwa ikisikilizwa. Soma zaidi….

Published by Mwananchi Habari -yesterday

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO