Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MABILIONI YA RADA YARUDISHWA RASMI NCHINI

bot-logo MAANDALIZI ya marejesho ya pauni 29.5 milioni sawa na Sh80 bilioni, zinazotokana na ununuzi wa rada kinyume cha sheria, yamekamilika baada ya Tanzania na Uingereza kutiliana saini makubaliano ya kurudisha ‘chenji’ hiyo.
Kwa mujibu wa makubaliano hayo yaliyofikiwa jana nchini Uingereza, fedha hizo sasa zitaingizwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati wowote na kutumika kwa ununuzi wa madawati na vitabu kwa ajili ya shule za msingi.
Read more….

Published by Mwananchi Habari on 15th March 2012

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO