Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mikutano ya Kampeni Kikatiti: CHADEMA na CCM katika picha

Mkutano wa Nassari Kikatiti juziMgombea wa CHADEMA, Joshua Nassari akiagana na wafuasi wake mara baada ya kumaliza mkutano wake eneo la Kikatiti juzi..

ccm kikatiti

Msanii wa kundi la TOT maarufu kama Juakali akitoa burudani kwa watu waliojitokeza kwenye mktano wa CCM eneo la Kikatiti

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO