Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hotuba ya Mh. Livingstone Lusinde ‘akiwachana’ CHADEMA Arumeru

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akimwaga sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Viwanja vya Ngarasero katika Kata ya USA River Wilayani Arumeru. Mkutano huo ulifanyika tarehe 26/03/2012 majira ya saa 9 Alasiri

Video uploaded by Chadema Tv on You Tube, 28th March, 2012

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 maoni:

Anonymous said...

hivi wanainchi wa mtera wana akili kweli?au izi pilau wanazopewa na wanarushwa wa ccm yani unahsangilia matusi yanatoka kwa uyu bwana na eti anaitwa "MHESHIMIWA MBUNGE?"sasa hii kampeni ilikua kwa ajili ya kuwatukana chadema ama kunadi sela za ccm...ama kweli katuaibisha wahehe,na kadi narudisha walahi!!!

Noise of Silence Blog said...

pole sana mtanzania wa Mterra.. huyo ndio mbadala wa Mzee Malecela

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO