Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DR MWAKYEMBE ARIPOTI OFISINI NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JANA

dr mwakyembe ofisini

Nauibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiazungumza na waandishi wa habari   ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu maendeleo ya afya yake baada ya kurejea nchini ambapo amesema kuwa kwa hivi sasa anaendelea vizuri na kwamba yupo fiti kiafya, na tayari ameripoti ofisini rasmi leo kwa kuanza kazi. Mwakyembe hakutaka kuweka wazi kuhusu mambo mengine aliyokuwa akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu uvumi ulioenea juu ya afya yake na kusema mambo yote anaiachia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.

dr mwakyembe ofisini2

PICHA NA MAELEZO: SUFIAN MAFOTO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO