Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

LORD EYEZ NDANI YA MASKANI YA NAKO 2 NAKO SOLDIERS JIJINI ARUSHA.

Pichani ni msanii wa Hip Hop kutoka kundi la N2N “Nako 2 Nako Slodiers” Lord Eyes akiwa na memba mwenzake Bu Nako na Anna Peter ndani ya maskani ya kundi hilo eneo la Kaloleni Jijini Arusha. Picha na Victor Machota

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO