Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Maadhimisho Siku Ya Wanawake Duniani-Arusha

Wanawake wa Tanzania wameungana na wenzao maeneo mengine Duniani kuadhimisha siku hii muhimu kwao kimataifa.

Jijini Arusha, maadhimisho hayo yamefanyika katika bustani ya jiji jirani na mzunguko wa Kijenge/Impala, ambapo Katibu Tawala, Bi Lyimo aliiekua mgeni rasm alihitimisha mfululizo wa Wiki Ya Wanawake katika viwanja hivyoi.

Shamrashamra za maadhimisho hayo zilipambwa na jumbe mbalimbali sambamba na burudani kutoka kwa vikundi vya ngoma sanaa nyingine za maonesho.

Moja kati ya jumbe zilizopamba maadhimisho haya ilikuwa inahamasisha wamama kuungana katika mapambano ili kukomesha matukio ya kikatili wanayotendewa wanawake!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO