Serikali na viongozi wa Taasisi za Kiislamu wakubaliana kuwarudisha wanafunzi 62 waliokuwa wamafukuzwa.
Naibu Katibu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ameeleza kuwa Serikali itawarudisha shuleni mwaka huu wanafunzi wote 62 walikuwa wamefukuzwa shule, Nanda Sekondari iliyoko Masasi Mkoani Mtwara.
Chanzo: Issa Michuzi
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment