Mashahidi 10 Kutetea Ushindi Wa Lema Arusha Mjini.
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), anatarajia kuita mahakamani mashahidi wasiozidi 10 kumtetea kuhusu tuhuma za kudaiwa kutoa maneno ya kashfa na udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Dk Batilda Burian.
Hatua ya mbunge huyo kujitetea kwa kuanza kuita mashahidi kesho, inatokana na upande wa wadai wanaowakilishwa mahakamani na mawakili Alute Mughwai na Modest Akida, kufunga ushahidi wao Jumanne iliyopita baada ya kuita mashahidi 14 mbele ya Jaji Gabriel Rwakibarila anayesikiliza shauri hilo namba 13/2010
Mwanannchi Habari lina taarifa zaidi.
0 maoni:
Post a Comment